Diamond’s Ex Wema Sepetu Says She Can’t Have Children

(Last Updated On: April 14, 2015)

wema sepetu

Diamond Platnumz ex girlfriend recently came out confessing that she does not have the ability to have kids. She did all this on a moving social media post. She is currently dating Tanzanian star Ommy Dimpoz.

Here is what she posted:

“Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana… But sina… Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu…. Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe… Is dat wat u want…? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze… Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto… Kumbukeni na mimi pia ni binaadam… Nina moyo kama nyie… Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa… Mnaona nafurahia sio…. Hivi mna nini jamani… Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu… Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno mazito namna hio… Kisa mtoto… Mnadhani naipenda hii hali… Hata mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho…. So mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die… Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua… Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu… I want dat with all my life but I cant…. Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia… But just dont rub it in… It hurts… And im jus a human being like each and everyone of u….” –

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *