Juliani Writes A Lovey Dovey Song To His Wife Brenda Wairimu Showering Her With Praises

(Last Updated On: September 25, 2017)

Kenyan musician Juliani and actress/television host Brenda Wairimu have been a couple for numerous years even though they try to keep their relationship out of the lime-light. Today we got a rare glimpse onto how lovey dovey the two could get with each other. Juliani posted this song dedicated to her on an Instagram post.

He said:

Ka outfit za hart the band, ina colors.
bad days.
Unafaa kua miss india, venye we ni bomb bae!
Hutaki kuniona ndeee ka wall safi siku za campaign.

Si promise life ya champagne
Sauti yako inani weza nikikusikia from the other end ya kabambe.

Netflix and chill
Una prefer candle lit, kupunguza bill that’s why nakuita mami wa power.
Selfie wakiwa dubai, kwa raha zao, mi najua tu one middle east
Hii ni spiritual nani, si tu release ya G, kuteremsha zip.

Solar system inapata rhythm
break barrier za isms.
Bora tufike, kwa rim ama kwa limb

Walisema ulichukua rib, chukua ile, chukua hii, chukua all, chukua finger chukua ring, chukua jina, chukua one knee.
Anakaa wewe ama anakaa mimi?
Mtoto ni Perfection ya mapenzi
Mara nyingi Nimesikia jina yangu wakitaja “and the winner is”
Lakini haikaribii yeye kuniita daddy
Na Smile ya milk teeth.
Sisemi mi ni Angel lakini niko far from the devil, hatakaa nilimea pembe.
Hata jogoo hawezi wika kwa mkono ya jamaa wa mlembe.
Tunasahau the past but uchungu inarudi nikigwaruza same place uli hurt.
Kadhaa nimefanya mistakes, pia wewe one way, the same.
Hope love ni strong enough sio weakness ya barafu kwa naked flame.
Boys wana fall for dimples
Real men wana look forward to wrinkles.

Nipe forever, pia ni love leo ni kama ni siku ya mwisho ya forever.
Hizo ni stripes za womanhood, usitumie filter kuficha cellulite, na respect their hustle, tho The only thing wanaeza offer ni IG likes.
Dance ya mwiko ni furaha ya tumbo.
Lets take it further umenifanya a father

Kenye me i got, ina mean a lot, ulikwama kama gari engine inaknock, days zikiwa dark kama skin ya Nanok.
Heart ya D na taste ya kempinski
Naamka morning ka Lewinsky, na bill
Si mind ku-spend
Hutaki nikupe one knee kama boss ya pence, kama hakuna mate ya wazazi, ku-bless.
Yellow sun, tukihold hands tukidissapear kwa horizon, nime come all way, from nikiwa base tuki idle, na boys tuko like “ona hizo” urembo tuki measure na Chakupendeza macho.
bad manners za kabich karat, kabich karat.
Mbele nyuma nina 2 Bob; ule ambassador na ule wa mpesa Kwa line,
una heart of gold, that’s why nakuita mine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *